Depretty
JF-Expert Member
- Jun 14, 2013
- 248
- 99
Habri jf doctor.. .naomba msaada jamn waungwana kabla sijachukua hatua ya kwenda kumwona dr..ni hiv yapata kama wiki hiv jicho la upande wa kulia pembezon kabisa kwenye hi kuta za kope huwa inawasha na wakt mwengine inawsha yaani kama vile nimeshikia pilipili...siku ya kwanza ilikua ivyo usiku na nilivyoamka asubh kujiangalia nikaona kunatofaut fkan katika ngo yaan kama vile pamevimba hivi....na had leo yapta siku ya 3 nayo naona hivyo tena linawasha nyakat za usiku kama vile nimepgusa na pili....
Je ni ugonjwa gan huu au yawezekana ni miwasho tu wkawaida???
Samahnin kwa uaumbufu natanguliza shukran.nimependa kushare nanyi maana nnaiman naweza nikapata pa kuanzia au kuelezea vizuri endpo ntaenda kumwona dr.
Shukran