Kuwashwa sehemu ya haja kubwa

Kuwashwa sehemu ya haja kubwa

year 2006

Member
Joined
Jan 14, 2016
Posts
87
Reaction score
57
Habari ya asubuhi, nimepatwa na tatizo la kuwashwa njia ya haja kubwa hadi inafikia siwezi kutembea umbali mrefu. Nimejaribu baadhi ya dawa shida bado ipo pale pale naombeni msaada.
 
jinsia gani ili tuweze kukupa dawa ya jinsia yko
 
Tumia Gentrisone inatosha. Hiyo ni fungal infection. Gentrisone consists of Betamethasone Dipropionate ,
Clotrimazole , Gentamicin Sulfate
 
Habari ya asubuhi, nimepatwa na tatizo la kuwashwa njia ya haja kubwa hadi inafikia siwezi kutembea umbali mrefu. Nimejaribu baadhi ya dawa shida bado ipo pale pale naombeni msaada.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom