Kuwashwa sehemu ya haja kubwa

Kuwashwa sehemu ya haja kubwa

Hiyo hali huwatokea wengi na husababishwa na minyoo mikuu. Nenda kawaone madaktari wala si ugojwa ambao utasumbuka kupata tiba
 
Punguza kutumia maji ya chumvi unaposafisha sehemu hizo....
 
Nenda hspt, ni mambo mengi yanayosababisha kuwashwa sehemu ya haja kubwa, kuna minyooo (lkn hii mara nyingi huwashwa usiku), kuna fungal infections, kuna magonjwa ya ngozi, kuna aina ya chupi (mbaya ni za nylon na polyster), kuna aina ya vyakula esp spices food, life style inaweza changia, pia jasho kwa wanaovaa nguo nyingi za ndani, cancer ya utumbo mkubwa inawezekana pia, nk
Usitumie Gentrison kamwe, kama ni fungas zipo dawa specific za fungas.
Kamwone dr wa ngozi aliyeko krb na wewe
 
Ili upatiwe ushauri mzuri ungeweka wazi umri wako pia.Inakubidi uende hospitali ukamuone mganga ili achukue maelezo yako kuhusu tatizo hilo la kuwasha sehemu ya haja kubwa na zaidi sana kuangalia hiyo njia ikoje, kipimo cha (PRE) hapa kinakuhusu na kuhitimishwa kwa kupima choo kikubwa yaani (stool).Kwa maelezo yako kuna uwezekano wa kuwa na minyoo au ukawa na kitu kinachoitwa ''haemorrhoids'' ambayo huitwa kwa kiswahili vidole tumbo. Ugonjwa huo ni matokeo ya kuvimba mishipa ya vena katika eneo hilo la haja kubwa,na kusababisha muwasho. Usikimbilie kutumia dawa za aina yoyote ile bila kumuona mganga ili upate tiba sahihi inayolingana na tatizo lako.Kama huduma ya kwanza tumia maji ya moto kutawadha na dettol sol.inaweza kuwa na manufaa makubwa kwako.
 
Pamoja na kutumia anti-fungal creams kama waliotangulia walivyoshauri, ukimaliza haja kubwa nawa vizuri kwa maji na ukaushe na toilet paper, fungus wanapenda unyevunyevu ili kustawi, hakikisha umekauka. Kumbuka kunawa mikono kwa maji na sabuni baada ya hapo.
 
Waliokushauri kumwona dactari uwasikilize zaidi.

Sana sana yaweza kuwa fugus. Fungus ni wa aina nyingi sana na wanatibiwa kwa dawa tofauti tofauti wengine hawasikii dawa makundi mengi isipokuwa kundi fulani tu, uniamini.

Haya wahi hospitali.
 
Nenda hspt, ni mambo mengi yanayosababisha kuwashwa sehemu ya haja kubwa, kuna minyooo (lkn hii mara nyingi huwashwa usiku), kuna fungal infections, kuna magonjwa ya ngozi, kuna aina ya chupi (mbaya ni za nylon na polyster), kuna aina ya vyakula esp spices food, life style inaweza changia, pia jasho kwa wanaovaa nguo nyingi za ndani, cancer ya utumbo mkubwa inawezekana pia, nk
Usitumie Gentrison kamwe, kama ni fungas zipo dawa specific za fungas.
Kamwone dr wa ngozi aliyeko krb na wewe
Thanx
 
Ili upatiwe ushauri mzuri ungeweka wazi umri wako pia.Inakubidi uende hospitali ukamuone mganga ili achukue maelezo yako kuhusu tatizo hilo la kuwasha sehemu ya haja kubwa na zaidi sana kuangalia hiyo njia ikoje, kipimo cha (PRE) hapa kinakuhusu na kuhitimishwa kwa kupima choo kikubwa yaani (stool).Kwa maelezo yako kuna uwezekano wa kuwa na minyoo au ukawa na kitu kinachoitwa ''haemorrhoids'' ambayo huitwa kwa kiswahili vidole tumbo. Ugonjwa huo ni matokeo ya kuvimba mishipa ya vena katika eneo hilo la haja kubwa,na kusababisha muwasho. Usikimbilie kutumia dawa za aina yoyote ile bila kumuona mganga ili upate tiba sahihi inayolingana na tatizo lako.Kama huduma ya kwanza tumia maji ya moto kutawadha na dettol sol.inaweza kuwa na manufaa makubwa kwako.
Sawa mkuu
 
Pamoja na kutumia anti-fungal creams kama waliotangulia walivyoshauri, ukimaliza haja kubwa nawa vizuri kwa maji na ukaushe na toilet paper, fungus wanapenda unyevunyevu ili kustawi, hakikisha umekauka. Kumbuka kunawa mikono kwa maji na sabuni baada ya hapo.
Nashukuru dada
 
Back
Top Bottom