[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Habari ya asubuhi, nimepatwa na tatizo la kuwashwa njia ya haja kubwa hadi inafikia siwezi kutembea umbali mrefu. Nimejaribu baadhi ya dawa shida bado ipo pale pale naombeni msaada.