Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwashwa ukeni.. kuna kuwa kuna uchafu mweupe una toka kama chenga chenga za maziwa...?? Au mweupe kama maji..!?? Je una ujauzito au kisukari..!??Wakuu habari, naombeni msaada wenu kwani nilipatwa na tatizo la kuwashwa ukeni, nikaenda hospitali na kupatiwa dawa ambazo zilikua za kuingiza ukeni, kwa bahati nzuri tatizo liliisha. Sasa yapata miezi miwili na tatizo limerudi tena, hivyo naombeni msaada
Ha ha ha ha Mkuu toa msaada bhana
Achana nae ni mwanaume huyo tu anaku enjoyeither una uti fungus au magonjwa mengine ya zinaa
kapimwe hospital kwanza watakupa dawa kulingana na tatizo lako
utakapopatiwa dawa na kuanza kutumia abstain sex kwa muda umalize dozi
epuka kutumia dawa unazoambiwa bila ushaur wa dokta uke ni sehem sensitive usifanyie mzaha kabisa
hakikisha unakua dry na unavaa nguo za ndani zisizobana
kunywa maji mengi
lastly anika nguo za ndani nje zipigwe na jua kuondoa bacteria wabaya
Duh Kila boy una uke? Ya jamiii forumWakuu habari, naombeni msaada wenu kwani nilipatwa na tatizo la kuwashwa ukeni, nikaenda hospitali na kupatiwa dawa ambazo zilikua za kuingiza ukeni, kwa bahati nzuri tatizo liliisha. Sasa yapata miezi miwili na tatizo limerudi tena, hivyo naombeni msaada
Kilaboy ni mwanamke?
😀😀😀😀😀Duh Kila boy una uke? Ya jamiii forum
labda ni partner wake ndio anaumwaAchana nae ni mwanaume huyo tu anaku enjoy