Kuwashwa ukeni

Kuwashwa ukeni

kilaboy

Senior Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
150
Reaction score
97
Wakuu habari, naombeni msaada wenu kwani nilipatwa na tatizo la kuwashwa ukeni, nikaenda hospitali na kupatiwa dawa ambazo zilikua za kuingiza ukeni, kwa bahati nzuri tatizo liliisha sasa yapata miezi miwili na tatizo limerudi tena, hivyo naombeni msaada
 
Pole aiseeee,,, ila jaribu kutumia maji ya limao,,, alovera,,,,,
 
either una uti fungus au magonjwa mengine ya zinaa

kapimwe hospital kwanza watakupa dawa kulingana na tatizo lako

utakapopatiwa dawa na kuanza kutumia abstain sex kwa muda umalize dozi

epuka kutumia dawa unazoambiwa bila ushaur wa dokta uke ni sehem sensitive usifanyie mzaha kabisa

hakikisha unakua dry na unavaa nguo za ndani zisizobana

kunywa maji mengi

lastly anika nguo za ndani nje zipigwe na jua kuondoa bacteria wabaya
 
Nenda kwa madaktar bigwa wa ngozi iyoo fangus
 
Wakuu habari, naombeni msaada wenu kwani nilipatwa na tatizo la kuwashwa ukeni, nikaenda hospitali na kupatiwa dawa ambazo zilikua za kuingiza ukeni, kwa bahati nzuri tatizo liliisha. Sasa yapata miezi miwili na tatizo limerudi tena, hivyo naombeni msaada
Ukiwashwa ukeni.. kuna kuwa kuna uchafu mweupe una toka kama chenga chenga za maziwa...?? Au mweupe kama maji..!?? Je una ujauzito au kisukari..!??
 
Hapana ni kuwashwa tu hakuna kitu chochote kinachotoka
 
either una uti fungus au magonjwa mengine ya zinaa

kapimwe hospital kwanza watakupa dawa kulingana na tatizo lako

utakapopatiwa dawa na kuanza kutumia abstain sex kwa muda umalize dozi

epuka kutumia dawa unazoambiwa bila ushaur wa dokta uke ni sehem sensitive usifanyie mzaha kabisa

hakikisha unakua dry na unavaa nguo za ndani zisizobana

kunywa maji mengi

lastly anika nguo za ndani nje zipigwe na jua kuondoa bacteria wabaya
Achana nae ni mwanaume huyo tu anaku enjoy
 
Doze ukutumia kwa wakti jingine ukitumia izo pumzik kufany mapenz kwa mdah
 
Wakuu habari, naombeni msaada wenu kwani nilipatwa na tatizo la kuwashwa ukeni, nikaenda hospitali na kupatiwa dawa ambazo zilikua za kuingiza ukeni, kwa bahati nzuri tatizo liliisha. Sasa yapata miezi miwili na tatizo limerudi tena, hivyo naombeni msaada
Duh Kila boy una uke? Ya jamiii forum
 
Nenda kwenye maabara ya uhakika, wachukue huo "uchafu" unaokuwa unatoka ukeni kwako, wafanye "culture" yaani waoteshe kama siku tatu hivi tatizo litajulikana
 
Back
Top Bottom