Kuwashwa ukeni

Kuwashwa ukeni

Wakuu habari, naombeni msaada wenu kwani nilipatwa na tatizo la kuwashwa ukeni, nikaenda hospitali na kupatiwa dawa ambazo zilikua za kuingiza ukeni, kwa bahati nzuri tatizo liliisha. Sasa yapata miezi miwili na tatizo limerudi tena, hivyo naombeni msaada
Kilaboy una viwanda viwili?

Anyway labda utakuwa ni shemale[emoji28] [emoji28] [emoji28]

Me nakushauri ujaribu kupaka pilipili manga ya unga..muwasho utapotea kabisa[emoji12] [emoji12]
 
Wakuu habari, naombeni msaada wenu kwani nilipatwa na tatizo la kuwashwa ukeni, nikaenda hospitali na kupatiwa dawa ambazo zilikua za kuingiza ukeni, kwa bahati nzuri tatizo liliisha. Sasa yapata miezi miwili na tatizo limerudi tena, hivyo naombeni msaada
Nyege hizo tafuta, dudu kubwa likukune njoo hapa..!
 
Rudi kwa Doctor akiyekupa dawa atajua hatua inayofuata. Ukizingatia Ushauri wa doctor utapona
 
Acheni utani, huo ni ugonjwa unaotibika, vijana mnakimbilia kumkuna, hio sio tiba ila ni kuharibu. Pata tu Ushauri wa doctor
 
Usijisafishe maeneo kwa kutumia sabuni zina kemikali zinazokuletea miwasho tumia maji safi tu uone maendeleo.
 
Back
Top Bottom