Kuwashwa ukeni

Nami nahisi amefanya hivyo hivi hakuna antibiotics naweza tumia?
Ndo hapo ninaposema uende hospitali maana huko wanajuwa antibayotiki gani wakupe... ILA KUMBUKA KUWA UKIMWI HAUNA ANTIBAYOTIKI

 
Huwa hatumii ndomu kwani tukizitumia nawashwa sana ila kabla hali ilikuwa nzuri nahisi alipiga mechi ya mchangani
Kama alipitia pale kimboka jiandae kununua mapafyumu ya kukata harufu
 
Nenda hospt ndio wazo langu, inawezekana ni mwanzo wa ukimwi nao kapime
 
Watu hamuogopi kufa naona,mtu ametoka safari hujui amefanya na wangapi huko mnafikia tu straight na kugegedana hatari sana....na pole yako.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Labda bado una hamu na dushelele ndo maana inawasha, kampe aitarasue tena halafu sikilizia kama muwasho utaendelea ..
 
Dah..............hayo yatakua magonjwa ya ngono na kuwashwa uke si kawaida lazima kuna tatizo......vya kushea si vizuri na hua havinogi.
 
Wanabodi mwenzenu nawashwa sana ukeni ni baada ya kukutana kimwili na mpenzi wangu peku. Nimejaribu kujiswafi na detto ila bado muwasho upo.naomba mnielekeze dawa za kutumia kuondokana na hili tatizo.

Pole sana dada. Tatizo lako linaweza kuletwa na sababu nyingi hivyo si vizuri kubahatisha tiba. Daktari akipima anaweza kujua chanzo ni kipi. Hii link hapa chini ina maelezo mazuri sana ya tatizo kama lako. Soma uone ni ipi inakaribiana na hali yako.

Vaginal Itching, Burning, and Irritation

Kila la kheri.
 
nimekwenda hospital wamenambia ni allery nimepata na dawa niko sawa, siyo gono heheheeh
Basi litakua gono hilo.........kapime na usirudie tena kwenda tupu tupuu
 
Asante hizo antibiotics zaitwaje?
Binafsi sikushauri utumie ma dk pori kwa tatizo lako ni vyema ukaenda hosp na ni vyema pia mwende pamoja kwa kuwa huna sababu ya kuwa na wasi wasi na tatizo lililoletwa na mpenzi wako.

Kwa kumshirikisha itampa picha kwamba mechi za mchangani ni hatari na pia asijichukulie kama mtu mwenye bahati wakati huu ambapo anga limechafuka.

Umuhimu wa kwenda kupima naye unaangukia kwenye suala la msingi kwamba kwa kuwa aina yenu ya uhusiano sio wa mtu na mwizi bali mtu na mke (like) itakuwa haina maana kama utaenda peke yako maana yake hata ukipona utarudi kwenye suala lile lile kwani aki hitaji hawezi nyimwa, hivyo usalama pekee ni kwenda nae hosp wote ili mumfukuze huyo kidudu muwasho aliye waingilia!
 
Jaribu kutumia sabuni ya womanwash,inapatikana katika kampuni za DS-MAX ENTERPRISES
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…