Hapana Dada sio allergy kuna Wanaume wakishusha mzigo ndani ya mkebe lazima ku kuwashwa au wengine kunuka,
Kila binadamu ana yake hata harufu ya mwili au kikwapa tuna tofauti
Kuna dada alishaniuliza kwanini akikutana na kaka yule lazima mzigo wake unamuwasha? sikuamini hadi leo ktk thread hii
Mimi kuna mtoto wa kiTanga miaka ya 90' tulichangia na jamaa mmoja bila kujua na kila nikiingia natoka na muwasho na kausaha, nikimuhoji anasema mbona wenzako hawalalamiki? ilibidi nimuache na mpaka alipata mtoto bila kutumia dawa yoyote