Kuwashwa ukeni

Kuwashwa ukeni

nikiwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
775
Reaction score
345
Wanabodi mwenzenu nawashwa sana ukeni ni baada ya kukutana kimwili na mpenzi wangu peku. Nimejaribu kujiswafi na detto ila bado muwasho upo.naomba mnielekeze dawa za kutumia kuondokana na hili tatizo.
 
Pole.
Wahi Hosp kwa huduma maana
maelezo yako hayajitoshelezi.

Fafanua kwa undani mmekutana
kavukavu mara ngapi,wakati mnatumia
kinga ulikuwa huwashwi .
 
nikiwe,
Pole..Ni kwa muda gani uneanza kuwashwa ukeni, yaani kabla ya kukutana na huyo mpenzi wako muwadho ulikuwepo na baafa ya kukutana ukazidi au umeanza tu baada ya kukutana?
...Kama ni baada ya kukutana, je ni muda gani baada ya kukutana?
-Kuwashwa huku kupo wakati gani zaidi?
-Mbali na kuwashwa kuna harufu, maji maji (uchafu) unaotoka?
-Kuna mabadiliko yoyote katika mtindo wa kutoa taka mwili (kukojoa).mf. maumivu, kukojoa mara kwa mara, n.k?
-Ni kwa muda gani umekuwa ukitumia sabuni za Dettol?

Nakushauri ufike hospitalini ufanyiwe vipimo na kutibiwa.Pia sikushauri kutumia sabuni za 'dawa' l(antibacterial) kujisafisha ukeni, kwani hupunguza kinga kwa kuua bacteria wanaokinga dhidi ya magonjwa.
 
Last edited by a moderator:
Kama unatumia condoms yaweza kuwa allergy..wahi kwa matibabu..
 
muwasho umeanza baada ya kukutana naye kimwili sipati maumivu nikikojoa ila nawashwa tu
nikiwe,
Pole..Ni kwa muda gani uneanza kuwashwa ukeni, yaani kabla ya kukutana na huyo mpenzi wako muwadho ulikuwepo na baafa ya kukutana ukazidi au umeanza tu baada ya kukutana?
...Kama ni baada ya kukutana, je ni muda gani baada ya kukutana?
-Kuwashwa huku kupo wakati gani zaidi?
-Mbali na kuwashwa kuna harufu, maji maji (uchafu) unaotoka?
-Kuna mabadiliko yoyote katika mtindo wa kutoa taka mwili (kukojoa).mf. maumivu, kukojoa mara kwa mara, n.k?
-Ni kwa muda gani umekuwa ukitumia sabuni za Dettol?

Nakushauri ufike hospitalini ufanyiwe vipimo na kutibiwa.Pia sikushauri kutumia sabuni za 'dawa' l(antibacterial) kujisafisha ukeni, kwani hupunguza kinga kwa kuua bacteria wanaokinga dhidi ya magonjwa.
 
Last edited by a moderator:
Kavukavu tumekutana mara nyingi bila tatizo ila alisafiri aliporudi tumegegedana na ndiyo nikaanza kuwashwa
Pole.
Wahi Hosp kwa huduma maana
maelezo yako hayajitoshelezi.

Fafanua kwa undani mmekutana
kavukavu mara ngapi,wakati mnatumia
kinga ulikuwa huwashwi .
 
Kavukavu tumekutana mara nyingi bila tatizo ila alisafiri aliporudi tumegegedana na ndiyo nikaanza kuwashwa

Kama alienda kwenye mashamba ya mpunga itakua U.P.U.P.U.....huwa unawasha sana!!!LOL...POLE SANA:A S 39:
 
Kavukavu tumekutana mara nyingi bila tatizo ila alisafiri aliporudi tumegegedana na ndiyo nikaanza kuwashwa
Na wewe ulikubali kugegedwa bila kumchunguza kwanza. Kapime kwanza hospital maana inaonekana hata hujijali
 
Kama unatumia condoms yaweza kuwa allergy..wahi kwa matibabu..
Hapana Dada sio allergy kuna Wanaume wakishusha mzigo ndani ya mkebe lazima ku kuwashwa au wengine kunuka,
Kila binadamu ana yake hata harufu ya mwili au kikwapa tuna tofauti
Kuna dada alishaniuliza kwanini akikutana na kaka yule lazima mzigo wake unamuwasha? sikuamini hadi leo ktk thread hii
Mimi kuna mtoto wa kiTanga miaka ya 90' tulichangia na jamaa mmoja bila kujua na kila nikiingia natoka na muwasho na kausaha, nikimuhoji anasema mbona wenzako hawalalamiki? ilibidi nimuache na mpaka alipata mtoto bila kutumia dawa yoyote
 
Sasa nimchunguze mpenzi wangu ili iweje?kuchepuka ni given ila kaniuz kuniletea miwasho
Na wewe ulikubali kugegedwa bila kumchunguza kwanza. Kapime kwanza hospital maana inaonekana hata hujijali
 
nikiwe, kacheki magonjwa ya zinaa hospitalini. Kama kabla alikugegeda na hukuwashwa inawezekana huko safarini amegegeda mwenye hayo magonjwa
 
Huwa hatumii ndomu kwani tukizitumia nawashwa sana ila kabla hali ilikuwa nzuri nahisi alipiga mechi ya mchangani
Hapana Dada sio allergy kuna Wanaume wakishusha mzigo ndani ya mkebe lazima ku kuwashwa au wengine kunuka,
Kila binadamu ana yake hata harufu ya mwili au kikwapa tuna tofauti
Kuna dada alishaniuliza kwanini akikutana na kaka yule lazima mzigo wake unamuwasha? sikuamini hadi leo ktk thread hii
Mimi kuna mtoto wa kiTanga miaka ya 90' tulichangia na jamaa mmoja bila kujua na kila nikiingia natoka na muwasho na kausaha, nikimuhoji anasema mbona wenzako hawalalamiki? ilibidi nimuache na mpaka alipata mtoto bila kutumia dawa yoyote
 
Kavukavu tumekutana mara nyingi bila tatizo ila alisafiri aliporudi tumegegedana na ndiyo nikaanza kuwashwa

Chakufanya mwende wote na mwenzio mkapime, kwani kama alitoka nje yaani alikutana na mwingine kavu na ana aleg yoyote inaweza kuwa tatizo, wote mtumie unt biotics, yaani rangi mbili nyeusi na nyekundu, muwasho utaisha, but, kupima ni lazima.
 
Nami nahisi amefanya hivyo hivi hakuna antibiotics naweza tumia?
nikiwe, kacheki magonjwa ya zinaa hospitalini. Kama kabla alikugegeda na hukuwashwa inawezekana huko safarini amegegeda mwenye hayo magonjwa
 
Asante hizo antibiotics zaitwaje?

Back
Top Bottom