Kuwashwa uume baada ya tendo

Bukijo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2010
Posts
208
Reaction score
71
Wadau wapendwa wana Jf,
Naombeni msaada wa tatizo langu;ni miezi 5 sasa toka nifunge ndoa.Mwez huu mwanzoni limetokea tatizo ambalo nashindwa kulielewa hasa chanzo chake nini.Nimekua kila ninapomaliza kufanya tendo la ndoa uume huwasha na baada ya mda huvimba na kutoa usaha kwenye ngozi ya uume hasa upande wa chini.Wiki kama tatu zilizopiata nilikwenda kwa daktari nikapima vipimo alivyovihitaji,japo majibu yalionesha hakuna tatizo lolote ila alinipa dawa na akaasa tutumie wote wawili yaan mm na mwenzangu.Na akasisitiza tusikutane kwa mda wa wk2,wk mbii zimepita na wote tumeshamaliza dozi lakini jana tu tumekutana na tatizo limejirudia!.
Je,ni ugonjwa gan huu?.Siwashwi ninapomaliza haja ndogo wala mwenzangu yeye hahisi maumivu yoyote.Naombeni mwenye kujua anisadie mwenzenu hali ya ndoa yangu imeingia doa.
Ntashukuru sana kwa ushauri wenu.
 
duh pole mkuu ngoja wataalam wafike. lakini nakushauri pima na damu
 
hilo nina uhakika ni gonohorea, inabidi mkapime wote, either wewe au mkeo mmoja sio mwaminifu anntoka nche ya ndoa, au kabla hamjaoana mmoja wenu alikuwa na ugonjwa huo. pole sana mkuu, utapona tu hata mimi nlishapata ugonjwa huo ila nlipona sasa nipo fit.
 
Nilipima daktari kasema sina ugonjwa wowote wa zinaa,na sina uhakika kama alikua nao make toka mwez 11 had February hatukua na tatizo lolote isipokua limejitokeza mwanzon mwa March.
Vp ulitumia ulipima nini na ukapewa dawa gan mkuu nisaidie nami nipone!!
 
Nilipima mwenyewe sasa anshindwa akienda apime nini haswa.Make hali hiyo inatokea kwangu tu!!

Mchukuzane nyote nendeni kwa dactari mueleze matatzo yako alafu akikutaka ufanye vipimo mshauri dactari awafanyieni nyote bila shaka tatzo litajulikana tu am sure"
 
M1 wenu ana magonjwa ya gono,so nendeni nyote kwa mtaalamu pia mnaweza kubadili hata daktari...pole sana mzee
 
M1 wenu ana magonjwa ya gono,so nendeni nyote kwa mtaalamu pia mnaweza kubadili hata daktari...pole sana mzee
Nashukuru make inanichanganya sana sitaki kuamini kama mwenzangu kashanisaliti mara hii na mbaya zaidi kazini tupowote sasa sielewi kabisa imetokeaje?
 
Sio simple herpes?
Ndo ikoje hiyo simple herpes?.nan hasa anakua affected na hiyo simple herpes?.Dawa yake huwa nn?
samahani naomba ufafanuzi zaidi.
 
najua magonjwa ya zinaa kwa wanawake kuonekana kwake ni kwa shiiida sana.,unaweza kukuta ur wife ana U.T.I au Gono zembe lakn alilipata kipindi cha nyuma..cha msingi nendeni mkapime damu, U.T.I pmj na Gono....pole kiongozi
 
Mtakuwa na ugonjwa wa zinaa, nenda Hospitali makini mutibiwe na msirudie kutoka nje ya ndoa.
 
Nendeni mkapime wote na mbadilishe hiyo sehemu ya kupimia asikupangie mkeo,then mtajua nani kasababisha then mle dawa na msameheane maana yawezekana shetani tu alimpitia mmoja wenu,ndo mambo ya ndoa hayo ndugu yangu!
 
najua magonjwa ya zinaa kwa wanawake kuonekana kwake ni kwa shiiida sana.,unaweza kukuta ur wife ana U.T.I au Gono zembe lakn alilipata kipindi cha nyuma..cha msingi nendeni mkapime damu, U.T.I pmj na Gono....pole kiongozi
Ni kweli alishawahi kupima na akakutwa na UTI akatibiwa!
Nashukuru sana ngoja nikateleleze ushauri wako!!
 
Dah pole sana mkuu! Labda cha kukushauli chukua mf huu! Nilikuwa nawashwa sana na baada ya kukojoa ndo usiseme! Ni mbishi sana mimi kwenda hospital coz naamin tiba mbdala
nikaona hal inazdi nkaenda kwa dr ninaye mwamin akapma mkojo ikaonekana UTI ndo inaanza na ina chembe chmbe za usaha! Akaniambia kuwa anichome sindano ya magonjwa ya zinaa! Ambayo aliniambia inatibu magnjwa meng yakiwemo typhoid,UTI,gono,kaswende nk. Akiniambia kuwa znatb magnjwa mengi kweny via vya uzaz! Nikachukua dawa kawaida tu! Ambazo nazo skupona u.t.i nkaamia tba mbadala nikawa nakunywa mixer limao sasa nafuu kumbwa naiona!
Sasa kwa mf huu nadhan utakuwa umepata picha fulani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…