Wadau wapendwa wana Jf,
Naombeni msaada wa tatizo langu;ni miezi 5 sasa toka nifunge ndoa.Mwez huu mwanzoni limetokea tatizo ambalo nashindwa kulielewa hasa chanzo chake nini.Nimekua kila ninapomaliza kufanya tendo la ndoa uume huwasha na baada ya mda huvimba na kutoa usaha kwenye ngozi ya uume hasa upande wa chini.Wiki kama tatu zilizopiata nilikwenda kwa daktari nikapima vipimo alivyovihitaji,japo majibu yalionesha hakuna tatizo lolote ila alinipa dawa na akaasa tutumie wote wawili yaan mm na mwenzangu.Na akasisitiza tusikutane kwa mda wa wk2,wk mbii zimepita na wote tumeshamaliza dozi lakini jana tu tumekutana na tatizo limejirudia!.
Je,ni ugonjwa gan huu?.Siwashwi ninapomaliza haja ndogo wala mwenzangu yeye hahisi maumivu yoyote.Naombeni mwenye kujua anisadie mwenzenu hali ya ndoa yangu imeingia doa.
Ntashukuru sana kwa ushauri wenu.