Mama Clara tulia acha wasiwasi unakaribia period bhana, Kha!! Na hii ni kutokana na mabailiko ya hali ya hewa ila hata hivyo sis madaktari wa mtandaoni sio wa kutuamini sana, please nenda kituo cha afya kilichopo Jirani na wewe ukawaeleze ila hakikisha unapimwa mbele ya Baba Clara endapo utakuta ni Dr. wa Kiume maana hawakawiii kukupima kwa kulinyonya!!! hahahhaa Mpwa wangu MziziMkavu kuja pande hii