Kuwashwa Ziwa (titi)

Kuwashwa Ziwa (titi)

mama clara

New Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Jaman naomba msaada ziwa la kushoto linawasha sana kuzunguka chuchu. Nn tatizo
 
Mama Clara tulia acha wasiwasi unakaribia period bhana, Kha!! Na hii ni kutokana na mabailiko ya hali ya hewa ila hata hivyo sis madaktari wa mtandaoni sio wa kutuamini sana, please nenda kituo cha afya kilichopo Jirani na wewe ukawaeleze ila hakikisha unapimwa mbele ya Baba Clara endapo utakuta ni Dr. wa Kiume maana hawakawiii kukupima kwa kulinyonya!!! hahahhaa Mpwa wangu MziziMkavu kuja pande hii
 
Last edited by a moderator:
kansa ya titi hio endapo kama kuna kipere kimejitokeza wai hosp utachomwa sindano ya kukausha
 
Back
Top Bottom