Wauzaji wa Container Tz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,224
- 4,092
kama mama yenuLissu anajipendekeza tu, watanzania walikaa naye wapi wakamtuma, kiherehere tu
Kwahiyo Tundu Lissu ana shida ya akili na chizi, ndiye chizi anayewatetea watanzania. Hayo ndo uliyoandika wewe mtanzania maiti.Watanzania washajifia kiakili kwahiyo MTU aendelee kujisumbua kuwatetea hawa watu ujue ajutambui.
@Tundulissu achana na huo mchezo mjinga huwa haoambaniwi.