Kuwatibu walioathirika na madawa ya kulevya

crecknerz

Member
Joined
May 7, 2014
Posts
88
Reaction score
12
NGO iliyopo Zanzibar inapokea na kuwatibu walioathirika na madawa, bangi, unga, pombe n.k. Kwa maelezo zaidi tumia namba hii, 0716121313.

Ada ni laki 2 kwa mwezi. Malazi, chakula, matibabu, masomo ni juu yetu. Atapata nafuu na kurudi katika jamii akiwa kijana wa kutegemewa katika taifa. Walioathirika na madawa huwa wako na psychiatric problem, wanatibika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…