Kuwaunga mkono na kuwatia nguvu wenzetu[heslb na manyanyaso yao]

ASCUDA T

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
120
Reaction score
33
Ndugu zanguni nawasalimu bwana yesu asifiwe na salaam alekum. Wenzetu watafanya maandamano makubwa j4 ijayo kwa kuwa tumekosa haki ya kupata mkopo na wazazi wetu wanalipa kodi. Wataongezewa nguvu na wabunge wa chadema. Namaanisha kwamba siku hiyo mikoa yote tufanye maandamano. Ombi langu naomba kila mkoa ajitokeze mtia hamasa lakini kwa arusha call 0653663399. Naomba ndugu zangu tuwatie nguvu wenzetu maana wako wengine wametokea mikoani wanalala stendi ubungo ooh! Mungu watazame. Tanzania ya kesho inajengwa na leo mungu ibariki tanzania mungu ibariki afrika
 
bro me mwenyewe naunga mkono kwa maisha ya sasa inabidi 2jitambue mambo gan wanatufanyia bwna
 
Na maji ya kunawa uso maana hayo mabomu cpati picha!! Na ukikamatwa utaambiwa wewe al-shabab.ILA TUKO PAMOJA MAISHA YA CHUO BILA BOOM UTALIA HAKI YA BIBI YANGU VILE.
 
Mi mwenyewe ntakuwepo ila kunamdau kaniomba tujitahid kuwakumbka wale wa mikoan kwan haina haja kuandika majina yetu endapo watatutaka kufanya hivyo sabab majina ya TULIONYIMWA MKOPO WANAYO.
 
Hi nchi ipo siku itaongozwa na demokrasia za kijeshi na hatokuwepo fisadi hata mmoja atakae thubutu kula mali za umma, trust me brothers..
 
Hi nchi ipo siku itaongozwa na demokrasia za kijeshi na hatokuwepo fisadi hata mmoja atakae thubutu kula mali za umma, trust me brothers..

Trueeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,,,kweli kabisa kaka.
 
m4m-movement 4 mkopo. watatuelewa2 hawa majangili wa kalam
 
Na maji ya kunawa uso maana hayo mabomu cpati picha!! Na ukikamatwa utaambiwa wewe al-shabab.ILA TUKO PAMOJA MAISHA YA CHUO BILA BOOM UTALIA HAKI YA BIBI YANGU VILE.

Mkuu umetisha sana kwa jinsi ulivyowakilisha kwenye huu uzi"ukikamatwa utaambiwa al shabab"kunaukweli hapa siunajua hawa watu walivyokuwa na roho ngumu halafu kwenye maelezo utaandikiwa ulikamatwa na vifaa ambavyo hutumiwa kwenye utengenezaji wa mabomu.
 
kabisa yani...inauma sana ukiangalia population ya wasomi haifiki hata robo ya population ya Tanzania nzima na bado serikali haitilii mkazo elimu ilihali ina uwezo wa kusomesha kila mwanafunzi tena buree
 
Kila mara kuna wimbo vipaumbele unaimbwa na elimu ni kati ya kipaumbele wanachokitaja. Sasa kutoa mikopo ni shida bajeti ya wizara ya elimu ni ndogo sana ukilinganisha na mahitaji yaliyopo. Tatizo tulianzisha program ya PEDP ikafuatiwa na SEDP 1 and 2 lakini nchi yetu haikuwaza wapi hao wanafunzi wote wataelekea ilishindwa kuforesee sasa matokeo ya hizo program ni wimbi la hao wahanga wote waliokosa mikopo. Tatizo nafasi wanapeana kwa kujuana. Dawa watu wagome if we need changes we don't need to afraid anything if we died let died for the benefit of other generation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…