ASCUDA T
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 120
- 33
Ndugu zanguni nawasalimu bwana yesu asifiwe na salaam alekum. Wenzetu watafanya maandamano makubwa j4 ijayo kwa kuwa tumekosa haki ya kupata mkopo na wazazi wetu wanalipa kodi. Wataongezewa nguvu na wabunge wa chadema. Namaanisha kwamba siku hiyo mikoa yote tufanye maandamano. Ombi langu naomba kila mkoa ajitokeze mtia hamasa lakini kwa arusha call 0653663399. Naomba ndugu zangu tuwatie nguvu wenzetu maana wako wengine wametokea mikoani wanalala stendi ubungo ooh! Mungu watazame. Tanzania ya kesho inajengwa na leo mungu ibariki tanzania mungu ibariki afrika