OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Jana nilipata laki 5 ambayo haikuwa kwenye bajeti. Nikasema vyovyote iwavyo namtumia maza laki 3 azibe magepu ya Januari. Sasa kuna mtoto mmoja nilimpa namba hakuwahi kunipigia. Nilivyopata tu hela shetani akaingia kazini. Jioni naisikia simu namba ngeni naulizwa uko wapi nije.
Mtoto akanikuta hotel. Akala vyombo kama vya 20 hivi na uchafu mwingine ukafanyika. Sasa namuachaje najikuta akiba yangu imekata. Ila kuna ile laki 3 ya maza kwenye mkoba nilipanga nimtumie kesho afurahi. Ikabidi nichomoe 30k kwenye pesa ya maza kumpoza mtoto.
Ninajiona fala kushindwa kujimudu dhidi ya hawa watoto wazuri. Nikilemaa kuna siku nitahonga hela ya mtaji au mahitaji ya familia. Nyie wenzangu mnawamudu vipi?
Kwa muktadha huu je kuna haja ya kuwa na kifungu cha kuhonga kwenye bajeti zetu?!