Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Kwa wafuatiliaji mtakubaliana na mimi kuwa kauli ya Rostam imezua mijadala sehemu mbali mbali. Kauli yake ni moja ya issue sensitive zinazotugusa sisi masikini.
Tanzania si kisiwa , ni kati ya kundi la chi zilizoko bara letu la Africa .bara ambalo linastruggle kutumia rasilimali zake kwa manufaa ya watu wake, kaka mkuu ikiwa congo.
Kama kuna mambo ambayo tunafail sisi waafrika ni kujijali kabla ya kuwajali wageni. Kila issue inayomhusisha mgeni lazima mwafrica abaki kugugumia. Ukweli hatustahili kuishi kwenye ufukara tunaouona.
Ushauri wangu ni ili tuyamudu baadhi ya mambo ambayo ni obvious hatuyamudu tujaribuni kuyakabili kwa ujumla wetu .issue ya wachina kumwagika na kulima nyanya, kuuza simu,kufanya umachinga kwa kigezo cha uwekezaji ni complete failure ya watunga sera wetu na viongozi.
Basi tuweni na mijadala ya kitaifa kuyakabili mambo ambayo yanaonekana yako nje na uwezo wa viongozi wetu kwani ni kama failure ya mwafrica ila kwa pamoja tunayaweza otherwise atokee mtu mwenye unique ideology ndo itakuwa pona yetu vinginevyo huu ufukara utakuwa vicious cycle ya mtu mweusi mpaka mwisho wa dunia.