Kuweka akiba kwa kipato cha 15000 Kila siku ambayo ni Sawa na 450,000 ni kujitesa!

Kuweka akiba kwa kipato cha 15000 Kila siku ambayo ni Sawa na 450,000 ni kujitesa!

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Picha linaanza una familia ya watoto wanne na kuendelea
👉Umepanga chumba na sebule
70k-100k kwa mwezi
👉Usafiri wa kazini 3000 Kila siku
👉Chakula 200k (angalau ili upate mlo standard) kwa mwezi
👉Bado umeme(10k), maji
👉Huna malupulupu

Kuweka akiba kwa mtu anayeingiza 450k kwa mwezi ni kujitesa!
👉 Ruksa kwa maoni na pingamizi
 
Kama mshara mdogo ya nini kutaka maisha ya kifahari

Hizo gharama za maji, ni bora kupanga hata nyumba za kiza ambazo wanatumia visima
 
Mazoea huanza na tabia
Hata ukiwa na kipato kidogo ukawa unajiwekea akiba ni vizuri kuliko kusubiri upate mamilioni ndio uanze kusave
[emoji736]Inasaidia sana ukipata emergency kama ugonjwa

[emoji736]Inakujengea tabia ya kuweka akiba

[emoji736]Akiba haiozi, itakusaidia mbeleni utakapohitaji pesa,mtaji n.k kuweka akiba hata kama ni buku buku sio kama anaetumia pesa yote inaisha kabisa!
 
Una kipato cha laki nne na nusu na una watoto 4, una wazimu wewe.
WaZimu gani Sasa boss, hiyo 450k kubwa mbona nilikuwa na Rafiki mmoja mwalimu aliajiriwa 2017 kwa mshahara wa laki moja na nusu shule ya private, watano watano walikuwa wanapashina miaka mitatu mitatu, mke hakuwa na kazi chumba wamepanga bei 25k kwa mwezi
 
Ni wazimu, unatesa watoto bure tu.
 
Watoto unapeleka wapi mkuu

Mimi nina kipato cha zaidi ya milion moja kwa mwezi ila swala la watoto naona mmoja anatosha
 
Watoto unapeleka wapi mkuu

Mimi nina kipato cha zaidi ya milion moja kwa mwezi ila swala la watoto naona mmoja anatosha
Mkubwa naandaa madaktari, maenginia, wafanyabiashara n. K
 
Back
Top Bottom