Kama mshara mdogo ya nini kutaka maisha ya kifahariPicha linaanza una familia ya watoto wanne na kuendelea
👉Umepanga chumba na sebule
70k-100k kwa mwezi
👉Usafiri wa kazini 3000 Kila siku
👉Chakula 200k (angalau ili upate mlo standard) kwa mwezi
👉Bado umeme(10k), maji
👉Huna malupulupu
Kuweka akiba kwa mtu anayeingiza 450k kwa mwezi ni kujitesa!
👉 Ruksa kwa maoni na pingamizi
Unaweza kuamuaKuweka akiba kwa mtu anayeingiza 450k kwa mwezi ni kujitesa!
👉 Ruksa kwa maoni na pingamizi
WaZimu gani Sasa boss, hiyo 450k kubwa mbona nilikuwa na Rafiki mmoja mwalimu aliajiriwa 2017 kwa mshahara wa laki moja na nusu shule ya private, watano watano walikuwa wanapashina miaka mitatu mitatu, mke hakuwa na kazi chumba wamepanga bei 25k kwa mweziUna kipato cha laki nne na nusu na una watoto 4, una wazimu wewe.
Ni wazimu, unatesa watoto bure tu.WaZimu gani Sasa boss, hiyo 450k kubwa mbona nilikuwa na Rafiki mmoja mwalimu aliajiriwa 2017 kwa mshahara wa laki moja na nusu shule ya private, watano watano walikuwa wanapashina miaka mitatu mitatu, mke hakuwa na kazi chumba wamepanga bei 25k kwa mwezi
Mkubwa naandaa madaktari, maenginia, wafanyabiashara n. KWatoto unapeleka wapi mkuu
Mimi nina kipato cha zaidi ya milion moja kwa mwezi ila swala la watoto naona mmoja anatosha