Kuweka appointment Ubalozi wa Ujerumani kwa mara ya pili (Rebooking appointment)

Kuweka appointment Ubalozi wa Ujerumani kwa mara ya pili (Rebooking appointment)

felista nangawe

New Member
Joined
Jan 8, 2022
Posts
4
Reaction score
3
Habari!

Naombeni mawazo ya nini nifanye kuweza kubook appointment ubalozi wa ujerumani kwa mara pili.

Niliweka appointment ya kwanza wakasema kuna document ya muhimu sina (blocked account) nifungue alafu nibook appointment tena.

Nikijaribu kubook appointment inaniletea huu ujumbe ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ

"the passport number needs to be unique. A different appointment with the same entry was already booked."

Waliniambia niinterchange majina yangu nikafanya hivyo ila bado inaleta huo ujumbe hapo unaokwamisha mimi kuweka appointments.

Ukiwatumia email hazijibiwi kwa wakati na muda unasonga.

Simu ukiwapigia wanaopokea ni wakali na hawana details bado wananirudisha kwenye kutuma email.

Naomba mwenye uzoefu anisaidie nini nifanye kutatua swala hili.
 
Kwa hayo juu Wanaweza hata kukutumia gari uende. No appointment necesary.๐Ÿ˜…
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜ wavalie njuga vivyo hivyo
Pole
 
Nikupe # ya balozi Regina ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Felista,
Na maanisha endelea kuwachagiza, piga simu, bandika mabandiko kwingine, twitta au Insta....
Kihivyo, wanaweza hata kukutumia gari ukamalizane nao badala ya wao kuona mautumbo yao mitandaoni.

Pole kwa usumbufu uliopata hako
 
Back
Top Bottom