Kuweka bango la ujenzi kwenye nyumba ya kuishi (Ghorofa vyumba 4)

frankj6

New Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Hello nilikuwa nataka kuuliza maana kuna watu kutoka board of architects and quantity surveyors' registration board wananifuatilia toka mwezi wa 6 mwaka huu kuwa sijaweka bango hilo la ujenzi, pia nikiangalia majirani zangu wote na waojenga na sehemu za jirani ambao nao wanajenga ghorofa moja ya kawaida ya kukaa hakuna hata mmoja aliyeweka bango la ujenzi.

Sasa nilikuwa nataka kujua hii kitu vizuri maana nimefatilia vibali vyote vya ujenzi kutoka manispaa na ninavyo toka 2022 na nimejenga mpaka sasa nipo kwenye skimming ndio hawa watu wanakuja wakini-threat kuwa wanataka kutake legal action kwakuwa sijaweka hili bango, hii ipoje wadau
 
Mara nyingi sana wanakuwa matapeli
 
Ni ghorofa ngapi, na je jengo liko mjini au nje ya mji?
 
Back
Top Bottom