Kuweka dolla katika account ya kawaida

richie hassan

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
52
Reaction score
9
ndug naomba msaada katika hili, niko na account yangu ya kawaida tu nimefungua crdb ila siku za karibuni nimepata wageni wangu wa njee ya nchii wamenipatia usd kias kama usd 2000. Sasa naomba kujuzwa je,naweza nkaweka hela USD katik account yangu au kuna taratibu nyingne za kuifanya acccount iweze kudeposit usd au mpaka nifungue nyingine ya USD ACCOUNT ??
 
Kuna account za dollar..sidhani kama hilo wazo lako linawezekana..ila kwa nini usiweke tu kwenye hela ya madafu??
 
nenda crdb wakufungulie ya dola , vinginevyo utalazimika kuxibadili kwenda tsh na rate za local banks ni mbaya mno na utapoteza pesa ndefu.
kama vipi niuzie hizo dolari
 
Mkuu hapo itakulazimu uichange au ufunguwe account nyingine ya dola. Ushauri wangu nenda kabadili uchukuwe ya madafu halafu kaziweke kwenye hiyo account yako,... Bila kusahau umakini kwenye Ku expire hizo dola maana kuna miaka yake ya kutumika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…