richie hassan
Member
- Jan 10, 2013
- 52
- 9
ndug naomba msaada katika hili, niko na account yangu ya kawaida tu nimefungua crdb ila siku za karibuni nimepata wageni wangu wa njee ya nchii wamenipatia usd kias kama usd 2000. Sasa naomba kujuzwa je,naweza nkaweka hela USD katik account yangu au kuna taratibu nyingne za kuifanya acccount iweze kudeposit usd au mpaka nifungue nyingine ya USD ACCOUNT ??