Kuweka engine ya 1KZ kwenye Land Rover Discovery


Sasa hapo fundi lazima aumize kichwa kwenye size ya bay na injini..................kuhusu mafuta mkuu nadhani urudi kwenye mchanganuo tena 1HD-FE kwenye wese mbona iko sawa sana ila vipuri vyake ndio ghali sana. Ukisema 1Hz kwa Discovery sio sawa sijakupata vizuri kwamba ni under utilization au vipi!!!?????

Kubadili injini najua sana tu mkuu ila hii ya discovery sijakutana nayo, hadi za 2L na 3L kwenya 3Y zote najua mpaka bell housing change....
 
Chief kumbe hujanunua bado!!!!?????

Achana na hiyo biashara kabisa ya kuja kusukumana na mafundi wakati una option ya kuchagua gari nyingine.......angalia hizo option za UK diesel powered !!!!!


Kama hujanunua sishauri kabisa hii!!!
 
Last edited by a moderator:
Chief kumbe hujanunua bado!!!!?????

Achana na hiyo biashara kabisa ya kuja kusukumana na mafundi wakati una option ya kuchagua gari nyingine.......angalia hizo option za UK diesel powered !!!!!


Kama hujanunua sishauri kabisa hii!!!
Ebu nipe links za good dealers
 
Last edited by a moderator:
1HD Litre moja unaenda km ngapi? 1hz heri ufunge kwenye coaster. Ni injini ya kazi. Nilishabadili 2lte na kuweka 1kz na ilikuwa poa sana tu.
 
Hamna engine ime setiwa inaenda km ngap kwa lita mpaka iekwe kwenye gar waangalie gear ratio za gearbox na diff kwa ujumla size ya tair ndo utajua inaweza kwenda km ngap kwa lita
 
its better utafte diesel powered discovery kuliko kufanya conversion ambyo haipo.engine swappin ya discovery goes in hand with pajero.ila ts soo expensive.kama u need a diesel discovery and ni adimu tafuta 2.5dhse range rover mbna bei nafuu sana.
 
1HD Litre moja unaenda km ngapi? 1hz heri ufunge kwenye coaster. Ni injini ya kazi. Nilishabadili 2lte na kuweka 1kz na ilikuwa poa sana tu.

1HD ni engine za vx hzo.so 1 litre might go kwa 10km kwa usiku coz hakuna foleni ila mchana its lower kidogo maana ni 4200cc if am not mistaken
 
Chief kumbe hujanunua bado!!!!?????

Achana na hiyo biashara kabisa ya kuja kusukumana na mafundi wakati una option ya kuchagua gari nyingine.......angalia hizo option za UK diesel powered !!!!!


Kama hujanunua sishauri kabisa hii!!!

Jee unajua kama ingini ya RAV4 kwenye Freelander inaoana na gear box ya Freelander?

Mimi Sio newbie kwahiyo usinipige madogo 😉. Ninachotaka kujua tuu ni compatibility kati ya gear box ya Freelander na ya RAV4; Specificaly the 3SGE engine.


Thanks
 

Hakuna haja ya madongo mkuu tujadili tu......nimeona Freelanders mbili zikiwa na 3S Engines. Ila sikujua kama bell housing ina match
 
1HD ni engine za vx hzo.so 1 litre might go kwa 10km kwa usiku coz hakuna foleni ila mchana its lower kidogo maana ni 4200cc if am not mistaken

Ni zaid ya 10 kwa FE type sababu kama natumia IKz say nikiweka 50 thousand narudi filling station mapema kuliko nikiweka same amount kwa 1HD (Vx 100). Pamoja na foleni I better use 1HD kuliko KZJ
 
Nilichoona so far wanafunga engine na gear box ya Rav4 kwenye Freelander. Tatizo ni usomaji wa speedometer tu. Kwa mawazo yangu ni vigumu kutumia gear box ya Freelander kwenye engine ya Rav4 kwani havitaoana kwenye "control box" (ECU). Sasa hapo, kinadharia, upate fundi mzuri wa umeme atumie ECU zote mbili, ya Rav4 kwa ajili ya engine na ya Freelander kwa ajili ya gearbox. Ila kama ni manual transmission, kinadharia, nafikiri inawezekama kama masuala ya bell housing yakizingatiwa etc.
 
Ni zaid ya 10 kwa FE type sababu kama natumia IKz say nikiweka 50 thousand narudi filling station mapema kuliko nikiweka same amount kwa 1HD (Vx 100). Pamoja na foleni I better use 1HD kuliko KZJ
Du! Maajabu. Yaani 4200 cc Turbo 1HD ile wese kidogo kuliko 3000 cc turbo 1KZ? Ndoja nifanye research.
 

Inawezekana hyo modifcation
Ila Arusha ndo wako vizuri kwa mambo hayo nilishawahi kuona land rover moja kule Tarangire n. Park imefanyiwa hayo makitu yan imetumika body tu ila kila k2 cha landcruiser
Ila cyo discovery ile ni 300 pickup
Ningeweka picha hapa ila naogopa mtanijua
Ila kwa Arusha inawezekana pale sun safari garage dodoma road wanaweza.
 
Hakuna haja ya madongo mkuu tujadili tu......nimeona Freelanders mbili zikiwa na 3S Engines. Ila sikujua kama bell housing ina match

Nina pajero short-chassis ambayo nilitoa disel engine yake (4d56) na kuweya toyota 3Y engine.
Nimeitumia karibu miaka tisa sasa with no issues lakini nimeichoka sasa.

I like the body shape ya 2004-06 Freelander, but the engine is just mavi. Nimeona possible solution ya kutatua tatizo la overheating na I think it requires kuipiga pasi cylinder head, as quoted below:

"...Tried everything, water pump, radiator, thermostat, header tank cap, yep the works and still no go.
Ended up taking to Land Rover wrecker/repairer in Brooklyn Melbourne and let him do his thing.
Six months later after a virtual engine rebuild the initial problem was finally diagnosed and rectified. After the heads were worked on they were dyed to ensure that everything was ok. At this time the dye showed up an extremely fine rectified fault. Apparently it is a fault that occurs in Fords quite regularly but no so in Land Rovers.
It is known as "channeling". Basically a super fine "channel" occurs between the head and the head gasket on the head itself. This allows the coolant to escape under extreme pressure and temperature, but only at minimal levels of loss. Unfortunately however it causes an almost immediate and extremely high temperature rise in the system when placed under pressure.
So when we were driving locally at @60kph the system operated perfectly well, but when we placed pressure on the system and increased to @80kph it immediately began to overheat and cause a loss in water pressure which the system compensated by increasing the temperature. ...
So there you are people another possible diagnosis of fault for freelander (now known as freeloader)"


Kwa upande wangu naona kuweka injini ya Toyota is the best solution kama unataka kukaa na gari kwa mda mrefu.
Now I am researching how to do it right. The 3Y engine in my Pajero is a carburetor engine, so I never dealt with the ECU/control box. But with the Freelander it will be a must and should be impossible. Ningependa kutumia gear box ya Freelander, so I am now researching how to go about it...
 
Du! Maajabu. Yaani 4200 cc Turbo 1HD ile wese kidogo kuliko 3000 cc turbo 1KZ? Ndoja nifanye research.

1. Kwani 1kz sio turbo kaka??!!
2. Technology ya Kzj na Hd-Fe mbona ziko mbali sana mkuu hiyo HD umeme mpaka kwenye back rest just imagine. .. . .
3. Kz ni 3.0 na hd-fe ni 4.2 lakini consumption sidhani kama inakuwa determined na cc peke yake
4. Kwa uzoefu wa kutumia hizo gari mbili ukinipa safari sasa hivi kutoka Dar to Arusha i will straight go for Hd-fe (Cruiser 100) without hesitation

Swali. . . Hivi Noah na Rav 4 old model za 3S na Mark X 250G consumption zake zikoje na cc zake zikoje??!!!
 

Nashukuru kwa shule hii mkuu
 

Pia nimewahi ona moja ina body ya 109 ila niliambiwa imewekwa Engine ya 3L
 

mkuu wengi hapo ndio huwa wanajichanganya wengi.huwa wanaangalia mambo ya cc na kujua kuwa gari yenye cc kubwa ndio inakula sana mafuta lakini sio kweli cha msingi ni kuangalia technologia iliyotumika kwenye gari husika
 
^^ mimi nina gari ya turbo cc 2200 lakini inakunywa mafuta zaidi ya cc 4200 landrover 🙁
 
Mkuu nasikia hata td5 zinasumbua hata gharama ya nozzle zake ipo juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…