KERO Kuweka faini kwenye SGR ili kubadili tarehe ya safari si sahihi

KERO Kuweka faini kwenye SGR ili kubadili tarehe ya safari si sahihi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

mrsmaiko

Member
Joined
May 17, 2024
Posts
33
Reaction score
41
Kwa kweli niwapongeze na awamu ya sita huduma ni nzuri nzuri sana.na kwa kweli mnatusaidia sana. Tunasafiri raha mustarehe.

Kidogo naomba mnisaidie na maoni.

Adhabu ya kubadili tarehe kwa kutozwa hela tena. Hela nimeshatoa imeingia nimepatwa na dharura nahitaji ku reschedule tiket kupeleka mbele bado mnampiga mtu penati.

Jaribuni kuangalia kama maisha magumu haya, Mfano ukikata Dar to Dom ukasema dharura nibadili tarehe niondoke siku inayofuata Penati sh 9500.

Jama jama Mafuta ghali napo bhuku mtiti
 
Awamu ya sita imekamilisha route ya wapi mpaka uipe pongezi kwa sgr?
 

###Unaujinga Mwingi Sana...###
Vipi Na Wao Wakisitisha Safari,Je..??Kuna Penati/Fidia Yoyote Inalipwa Kwa Waliokwisha Kata Tiketi...??
###Unaujinga Mwingi Sana...###
​
 
Back
Top Bottom