Kuweka mashine ya kutolea pesa jirani na baa ni kusabaishia matatizo watu

Sasa ulitaka ziwekwe karibu na wapi?

Kwanza ebu angalia nan kamfata mwenzie katika ya ATM & Bar

Wameangalia sehemu ambayo miamala inaweza fanyika kwa wingi na urahisi ata wakati wa usiku.
 
Mtoa mada hana tofaufi na yule m bunge wa std7 aliesema wanafunzi wapewe elimu ya kujitegemea then akatoa mfano wa fundi viatu au mpiga kiwi sijui alitaka apigiwe kiwi viatu vyake au?aliongea akiwa amekula supu ya utumbo?
 
Mtu anajikuta anatengua bajeti na kwenda kunyogoa mzigo.

Hii inasababisha watu kutungua mzigo ambao haukupangwa kutumika siku hiyo.

Watu wengine wana mauzi na dharau husababisha kulazimika mtu kwenda kutoa mzigo ili ule masanga kwa hasira...
Nilishazikuta ndani ya casino, yaani mpaka huruma. Watu waishiwa, wanageuka tuu kwa atm. Kama ugonjwa hivi.
 
Ukitaka usitoke nje ya matumizi, toa kiasi cha kutumia kisha acha simu na kadi nyumbani, nenda bar kale maisha.
Asubuhi hata ukiamka bila mia, hautaumia kwa sababu ulishapanga kabla ya matumizi.

Kuna kitu walevi huwa tunakosea. Yaani unaenda bar na laki 2, ikifika asubuhi unajisachi unakuta mfuko huu una 5000, huu 1,000, huu 2000 yaani mpaka unaogopa kuhesabu hela zako zilizobakia.
 
Hapo lazima useme itakuwa nimesachiwa
 
Mtu anajikuta anatengua bajeti na kwenda kunyogoa mzigo.

Hii inasababisha watu kutungua mzigo ambao haukupangwa kutumika siku hiyo.

Watu wengine wana mauzi na dharau husababisha kulazimika mtu kwenda kutoa mzigo ili ule masanga kwa hasira...
Kubali tu kwamba uko na kaudhaifu hivyo unapaswa kifanyia kazi, tiba inaanzia hapo.
 
Back
Top Bottom