Dah umenipiga na kitu kizito kichwani.Ukitaka usitoke nje ya matumizi, toa kiasi cha kutumia kisha acha simu na kadi nyumbani, nenda bar kale maisha.
Asubuhi hata ukiamka bila mia, hautaumia kwa sababu ulishapanga kabla ya matumizi.
Kuna kitu walevi huwa tunakosea. Yaani unaenda bar na laki 2, ikifika asubuhi unajisachi unakuta mfuko huu una 5000, huu 1,000, huu 2000 yaani mpaka unaogopa kuhesabu hela zako zilizobakia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ya kuogopa kuhesabu salio inatukuta wengi sana.