Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
We beba ela cash unayoitaji kwenda kutumia siku hio tu doido nyingine za kadi ya benk acha nyumbanHii karibu na baa sio kabisa
Toa tu ndio faida yao na wenyeweSiku hizi hata kwenye Atm unatoa na Cm banking. Wapuuzi wakikuuzi unajilipua zaidi.
Dharau umezianzisha ww kushindwa kuwa na limitations kwenye matumizi yako ya fedha, wao wanaziendeleza tuKwa nini walete dharau za kipuuzi wakati una hela benki
Nilishazikuta ndani ya casino, yaani mpaka huruma. Watu waishiwa, wanageuka tuu kwa atm. Kama ugonjwa hivi.Mtu anajikuta anatengua bajeti na kwenda kunyogoa mzigo.
Hii inasababisha watu kutungua mzigo ambao haukupangwa kutumika siku hiyo.
Watu wengine wana mauzi na dharau husababisha kulazimika mtu kwenda kutoa mzigo ili ule masanga kwa hasira...
Mwenye tatizo hapo ni naniMtu anajikuta anatengua bajeti na kwenda kunyogoa mzigo.
Hii inasababisha watu kutungua mzigo ambao haukupangwa kutumika siku hiyo.
Watu wengine wana mauzi na dharau husababisha kulazimika mtu kwenda kutoa mzigo ili ule masanga kwa hasira...
Ulikuwa ni ushauri tuu..mbona povu?Umeanza upumbavu we mlevi
Hapo lazima useme itakuwa nimesachiwaUkitaka usitoke nje ya matumizi, toa kiasi cha kutumia kisha acha simu na kadi nyumbani, nenda bar kale maisha.
Asubuhi hata ukiamka bila mia, hautaumia kwa sababu ulishapanga kabla ya matumizi.
Kuna kitu walevi huwa tunakosea. Yaani unaenda bar na laki 2, ikifika asubuhi unajisachi unakuta mfuko huu una 5000, huu 1,000, huu 2000 yaani mpaka unaogopa kuhesabu hela zako zilizobakia.
Kubali tu kwamba uko na kaudhaifu hivyo unapaswa kifanyia kazi, tiba inaanzia hapo.Mtu anajikuta anatengua bajeti na kwenda kunyogoa mzigo.
Hii inasababisha watu kutungua mzigo ambao haukupangwa kutumika siku hiyo.
Watu wengine wana mauzi na dharau husababisha kulazimika mtu kwenda kutoa mzigo ili ule masanga kwa hasira...
Kwamba jikite kwenye mada za Makalasha.Ushauri gani huu wa kishamba
Kabisa! Hapo ndio unaanza kupiga hesabu hatua kwa hatua jinsi ulivyotumia jana yake lakini unakuta zinagoma kabisa.Hapo lazima useme itakuwa nimesachiwa
Siku hizi unaweza kutoa kwenye ATM hata kama huna card, ila tu uwe na simu yakoWe beba ela cash unayoitaji kwenda kutumia siku hio tu doido nyingine za kadi ya benk acha nyumban
Wahudumu nao hawakawi kufanya yaoKabisa! Hapo ndio unaanza kupiga hesabu hatua kwa hatua jinsi ulivyotumia jana yake lakini unakuta zinagoma kabisa.