Dah umenipiga na kitu kizito kichwani.Ukitaka usitoke nje ya matumizi, toa kiasi cha kutumia kisha acha simu na kadi nyumbani, nenda bar kale maisha.
Asubuhi hata ukiamka bila mia, hautaumia kwa sababu ulishapanga kabla ya matumizi.
Kuna kitu walevi huwa tunakosea. Yaani unaenda bar na laki 2, ikifika asubuhi unajisachi unakuta mfuko huu una 5000, huu 1,000, huu 2000 yaani mpaka unaogopa kuhesabu hela zako zilizobakia.
Dah! Hatari sana! Unakuta jioni wallet ilituna au mfuko ulituna hela.Dah umenipiga na kitu kizito kichwani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ya kuogopa kuhesabu salio inatukuta wengi sana.
Mimi nilikuwa naweka pesa kwenye mfuko wa suti kabatini, sasa kila siku nachukua tu na kusepa bar bila kungalia zimebaki ngapi, hapo mfuko umetuna kweli, baada ya week tu mfuko umekonda/nywea kweli kweli. Hapo unakuta zilikuwa laki saba au nane nilizokuwa nimepanga kununulia cement lakini kila siku nasema ntanunua kesho. Moyo unaanza kudunda kwa kasi pale napotaka kujua zimebaki ngapi...Dah! Hatari sana! Unakuta jioni wallet ilituna au mfuko ulituna hela.
Asubuhi unajipapasa unakuta mifuko ipo flat.
Hiyo hali nimeipitia ila nimeshaishinda. Nikienda bar naenda na hela ndogo ambayo nikiiteketeza sitaumia.
Simu pia acha nyumbanSiku hizi unaweza kutoa kwenye ATM hata kama huna card, ila tu uwe na simu yako
Hapo sawa, pia nenda sehemu wasiyo kuamini, bila hivyo unaweza kuambiwa wewe kunywa na kula utakacho pesa utaleta kesho. Haahhhh asubuhi unaamka na deni la laki na nusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simu pia acha nyumban
Wakikwambia hvyo unawambia ata kesho pesa nitakuwa sinaHapo sawa, pia nenda sehemu wasiyo kuamini, bila hivyo unaweza kuambiwa wewe kunywa na kula utakacho pesa utaleta kesho. Haahhhh asubuhi unaamka na deni la laki na nusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa, ila siyo rahisi hivyo, anyway kikubwa ni kuwa kudhibit matumiz yako kwa njia uonayo ni rahisi kwakoWakikwambia hvyo unawambia ata kesho pesa nitakuwa sina
Unapimwa uwezo wa kuishi kwa budgetMtu anajikuta anatengua bajeti na kwenda kunyogoa mzigo.
Hii inasababisha watu kutungua mzigo ambao haukupangwa kutumika siku hiyo.
Watu wengine wana mauzi na dharau husababisha kulazimika mtu kwenda kutoa mzigo ili ule masanga kwa hasira.