Nyamwage
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 712
- 1,748
Mtu unanunua flagship ya pesa nyingi yenye technology ya kioo kikalii badala ya kuendelea kuenjoy AMOLED au OLED mixer 2200 nits ulivyokua zwazwa unaenda kuweka giza juu yake sijui mnaficha nini hata ukiangalia content za 1080p unaona blur hizo privacy muwape watu wa infinix na tecno tena zile za laki mbili