Kuweka private whatsup dp ni ubinasfi wa kishamba

Kuweka private whatsup dp ni ubinasfi wa kishamba

Demu wako kakupiga ban afu dp kamweka jamaa yake usimwone wewe umekuja kulia lia huku badala ya kumalizana nae huko....Unaibiwaaa hahahahaaaaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
hz n stress za demu wako kutokuweka kwenye profile ake
 
Tangu nimeacha kutumia whatsapp, nimejikuta naishi vizuri kupindukia
 
Back
Top Bottom