Wakuu katika mazingira ambayo kwa sasa sipendi kuyaelezea kuna mtu nimemshuhudia
akiweka kidonge cha Valium kwenye soda aina ya Cocacola. Ningependa kujua kutoka
kwenu madhara ya mchanganyo kama huo, kwani nina hofu isijekuwa anatengeneza sumu.
Anatafuta usingizi. Makahaba wanaopanga kuwaibia watu huwa wanawawekea kwenye vinywaji vyenu au chumvini. Ukinyonya tu, usingizi huo! Unabebewa vogue yako na we unaachiwa fungus. Na kwenye k wanakuwaga makini kweli kuaply kwa kuogopa wasije wakalala wao badala ya mteja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.