kuweka wave/kunyoa kiduku sehemu za siri?

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
Nipo na jamaa zangu hapa, nimeshangazwa sana na kitu hiki sijawahi kusikia maishani mwangu mpaka sasa miaka yangu 24 hii.

Jamaa wanasema eti kunyoa kiduku/kuweka wave kwenye ma***zi na kuzinga eti kunaongeza mvuto kwa demu/mke/kimada wa mapenzi.

Wadau hili ni kweli?
 
ujana una raha yake, subiri wenzio watakujibu
 
Astakafululahi!!!!!
Ukishangaa ya Musa utaona ya Farao
 
Mweh...!!
Hii ndio kwanza naisikia.
 
Nipo na jamaa zangu hapa, nimeshangazwa sana na kitu hiki sijawahi kusikia maishani mwangu mpaka sasa miaka yangu 24 hii.

Jamaa wanasema eti kunyoa kiduku/kuweka wave kwenye ma***zi na kuzinga eti kunaongeza mvuto kwa demu/mke/kimada wa mapenzi.

Wadau hili ni kweli?

Bado hujakuwa, ukifikia muda utaelezwa...miaka 24 bado mdogo
 
Khaaaaaaaaaaaaaa, ma-wave si yanababua yale? Ukibabua ngozi je ya huko chini? Na ilivyo laini?? Astaghafulillah! Lol
 
hata kama sijakua kwa unavyonidefine wewe but kama ndo hivo basi mapenzi yamenishinda, SIWEZIFANYA UPUMBAVU HUO.
 
Nipo na jamaa zangu hapa, nimeshangazwa sana na kitu hiki sijawahi kusikia maishani mwangu mpaka sasa miaka yangu 24 hii.

Jamaa wanasema eti kunyoa kiduku/kuweka wave kwenye ma***zi na kuzinga eti kunaongeza mvuto kwa demu/mke/kimada wa mapenzi.

Wadau hili ni kweli?

Swali la kwanza huyo anayeweka wave na kunyoa kiduku kunako nia jinsia ya kike au ya kiume?
 
Khaaaaaaaaaaaaaa, ma-wave si yanababua yale? Ukibabua ngozi je ya huko chini? Na ilivyo laini?? Astaghafulillah! Lol

wakati wanawake na wanaume wengine wanahaika kushave daily, kumbe kuna wengine wanasuka rasta, weka weaving na kunyoa viduku
 
Hapa hatuna wanaume wa kesho kama haya ndiyo wanayofikiri!!!. Hv ukiremba huko ili hali performance ni disappointing utaficha wapi aibu?
 
ahaa kwa hiyo perfomance inahusika ehh
 
Back
Top Bottom