Kuwekana sawa si Vibaya!!!

Kuwekana sawa si Vibaya!!!

Ligogoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
3,503
Reaction score
6,415
Habari wana Jf!
Mimi nina kampuni ipo registered kabisa kwa kila kitu, i mean brela, halmashauri na TRA. Nina kajimtaji kadoooodo sana , nilianza na laki nane kwa kuuza komputer kutoka Dar kupeleka mikoani na sasa nina kama 2.6 milioni (mtaji).

Sina chochote cha maana cha kukopea mfano ardhi, gari, nyumba na n.k. hivyo nimekosa sifa ya kukopeshwa na mabenki yetu na bila mikopo kufanikiwa ni safari ndefu saaana.

Nataka nijiimarishe zaidi na zaidi, je kuna namna naweza kufanya ili kupata mkopo wa kujiimarisha kama kufungua duka kubwa la kuuza computer na au kuagiza computer mwenyewe kutoka nje?

Asanteni sana wana JF
 
consult SEDEO saccos magomeni mapipa ukiweka hiyo utakopa mara tatu yake.
 
Nenda FINCA - Magomeni Mwembe chai AMA PRIDE - Magomeni Mapipa AMA TUJIJENGE Kijitonyama
nadhani wana branches zaidi,
 
Jiunge kwenye mikopo ya vikundi inayotolewa na dar community bank,wanatoa mpaka 5m kwa udhamini wa wanakikundi wenzako.
 
Back
Top Bottom