dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Kwahiyo cover na screen protector zilitengenezwa kwa ajili gani?Hamjambo,
Huwa nakereka sana pindi nimuonapo mwaume na Madevu yake amesiliba liTecno lake la vilaki vinne kwa makava na maprotekta.
Kama uko hapa na umesiliba liTecno lako hivyo nakutaka uondoe huo uchafu haraka.
Waliotengeneza hizo simu hawakutengeneza makava na hivyo uache ushamba maandazi.
Kwa msiojua simu matumizi yake ni mwaka mmoja na baada ya hapo unatakiwa ubadilishe.
Nadhani Mmeelewa
Kama hujui kitu uwe unanyamaza, sawa totoo?Mimi samsung walinipa zawadi ya protector.ila Iphone mnakoma mpaka betri hamuwekewi unanunua simu 3mil chaja unanunua pembeni.
π€£π€£π€£π€£ totoo anajifunza kuongea em muacheKama hujui kitu uwe unanyamaza, sawa totoo?
Za midoli
Last week nilikuwa na siliconeZa midoli
Totoo amezoea vitu used huyoπ€£π€£π€£π€£ totoo anajifunza kuongea em muache
Na venye kitu mpya alooo wanakukomaLast week nilikuwa na silicone
Leo nina transparent
Next week wakawaka π€£
Hata ya zamani ilikuwa hivo hivo πππNa venye kitu mpya alooo wanakukoma
Mahangaiko ulianza kitambo kumbe π€£π€£Hata ya zamani ilikuwa hivo hivo πππ
Sasa nakuwaje na kava 1 jamani πMahangaiko ulianza kitambo kumbe π€£π€£
Ndio hapo, na makava kila siku mapya yanatokaSasa nakuwaje na kava 1 jamani π
Maisha yenyewe magumuHamjambo,
Huwa nakereka sana pindi nimuonapo mwaume na Madevu yake amesiliba liTecno lake la vilaki vinne kwa makava na maprotekta.
Kama uko hapa na umesiliba liTecno lako hivyo nakutaka uondoe huo uchafu haraka.
Waliotengeneza hizo simu hawakutengeneza makava na hivyo uache ushamba maandazi.
Kwa msiojua simu matumizi yake ni mwaka mmoja na baada ya hapo unatakiwa ubadilishe.
Nadhani Mmeelewa
Achana na kufuga midevu na acha kutumia Tecno.Hamjambo,
Huwa nakereka sana pindi nimuonapo mwaume na Madevu yake amesiliba liTecno lake la vilaki vinne kwa makava na maprotekta.
Kama uko hapa na umesiliba liTecno lako hivyo nakutaka uondoe huo uchafu haraka.
Waliotengeneza hizo simu hawakutengeneza makava na hivyo uache ushamba maandazi.
Kwa msiojua simu matumizi yake ni mwaka mmoja na baada ya hapo unatakiwa ubadilishe.
Nadhani Mmeelewa
Kiduku Lilo [emoji1][emoji119]Mwaka Mmoja ni kwa masikin na watu wanaoishi kwa kuunga unga kama wewe mleta Uzi
Sisi Kila baada ya kuinunua tu simu dukani tukiitumia tu kidogo tunaiona ya kawaida sana hivyo tunanunua nyingine
Nyumban tumejaza sim utazan tunaduka,
Inafika kipindi nikishuka kwenye gari Nina Hadi simu nane kwenye mkono zote sim janja Kali
Sasa ww ka sim kamoja unakaanako mwaka mzima na hakana cover Wala protect huo siyo u masikin tu Bali ni ukapuka uliochanganyika na upungufu wa akiri.
Usiige Kunya kwa tembo.......
Mitano tena
Na long out.
Hilo nalo mkalitazame [emoji847]Mimi samsung walinipa zawadi ya protector.ila Iphone mnakoma mpaka betri hamuwekewi unanunua simu 3mil chaja unanunua pembeni.