Kuwekea simu cover na screen protector ni ushamba

Hamjambo,
Huwa nakereka sana pindi nimuonapo mwaume na Madevu yake amesiliba liTecno lake la vilaki vinne kwa makava na maprotekta.

Kama uko hapa na umesiliba liTecno lako hivyo nakutaka uondoe huo uchafu haraka.

Waliotengeneza hizo simu hawakutengeneza makava na hivyo uache ushamba maandazi.

Kwa msiojua simu matumizi yake ni mwaka mmoja na baada ya hapo unatakiwa ubadilishe.

Nadhani Mmeelewa
Kwahiyo cover na screen protector zilitengenezwa kwa ajili gani?
 
Yani mtu kapamabana kateseka kapata kalaki kake kwaugumu kanunua simu yake alafu unataka asiweke protector na cover. [emoji38][emoji38]

Alafu kuna sisi matajiri tunaweka cover kwajili ya kuficha brand za hizo simu tunazotumia kwahiyo acha ushamba. [emoji38][emoji38]
 
Hamjambo,
Huwa nakereka sana pindi nimuonapo mwaume na Madevu yake amesiliba liTecno lake la vilaki vinne kwa makava na maprotekta.

Kama uko hapa na umesiliba liTecno lako hivyo nakutaka uondoe huo uchafu haraka.

Waliotengeneza hizo simu hawakutengeneza makava na hivyo uache ushamba maandazi.

Kwa msiojua simu matumizi yake ni mwaka mmoja na baada ya hapo unatakiwa ubadilishe.

Nadhani Mmeelewa
Maisha yenyewe magumu
 
Niendelee tu kuwa mshamba...
 
Hamjambo,
Huwa nakereka sana pindi nimuonapo mwaume na Madevu yake amesiliba liTecno lake la vilaki vinne kwa makava na maprotekta.

Kama uko hapa na umesiliba liTecno lako hivyo nakutaka uondoe huo uchafu haraka.

Waliotengeneza hizo simu hawakutengeneza makava na hivyo uache ushamba maandazi.

Kwa msiojua simu matumizi yake ni mwaka mmoja na baada ya hapo unatakiwa ubadilishe.

Nadhani Mmeelewa
Achana na kufuga midevu na acha kutumia Tecno.

Sisi watumaiji wa Sumsung simu zetu huja na cover lake pamoja na protector. Sasa sijajua mshamba ni nani kati yako wewe Tecno na Sumsung
 
Mwaka Mmoja ni kwa masikin na watu wanaoishi kwa kuunga unga kama wewe mleta Uzi

Sisi Kila baada ya kuinunua tu simu dukani tukiitumia tu kidogo tunaiona ya kawaida sana hivyo tunanunua nyingine

Nyumban tumejaza sim utazan tunaduka,

Inafika kipindi nikishuka kwenye gari Nina Hadi simu nane kwenye mkono zote sim janja Kali

Sasa ww ka sim kamoja unakaanako mwaka mzima na hakana cover Wala protect huo siyo u masikin tu Bali ni ukapuka uliochanganyika na upungufu wa akiri.

Usiige Kunya kwa tembo.......

Mitano tena

Na long out.
Kiduku Lilo [emoji1][emoji119]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom