Kuwekea simu cover na screen protector ni ushamba

Masau Bwire
 
Hii itakua inawahusu watu wa Tecno wereva. Sisi wa Samsung simu zinakuja na protector kwa box...au nao ni washamba ku ship simu na protector yake kwenye box?
Kuna shida gani kuwa na built-in screen protector badala ya huu uchafu yunaouziwa Kariakoo.
 
Zamani kina Shirima walikua wanaheshimika sana aisee
 
Protector ni ya muhimu,kwenye cover hata mimi nakuunga mkono

Kuna watu tunazitumia simu zetu kuhifadhia taarifa muhimu na kuweka reminder mpaka za mwaka kesho,watu kama sisi hatuwez badilisha simu baada ya muda mfupi hzo tabia za kununua simu mara kwa mara waachieni ma slay queen malaya
 
Unaweza kuta huna hata kalaki bado unamsiliba mwanaume mwenzio kwa kumiliki Tecno ya laki 4.
 
Achana na kufuga midevu na acha kutumia Tecno.

Sisi watumaiji wa Sumsung simu zetu huja na cover lake pamoja na protector. Sasa sijajua mshamba ni nani kati yako wewe Tecno na Sumsung
🤣🤣🤣
 
Natumia simu moja ya kipekee sana(zipo chache)na sijawahi kukutana/kuonana na mtu mwingine anatumia hii simu

SIMU NZURI SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…