Kuwekea simu cover na screen protector ni ushamba

Kuwekea simu cover na screen protector ni ushamba

Mwaka Mmoja ni kwa masikin na watu wanaoishi kwa kuunga unga kama wewe mleta Uzi

Sisi Kila baada ya kuinunua tu simu dukani tukiitumia tu kidogo tunaiona ya kawaida sana hivyo tunanunua nyingine

Nyumban tumejaza sim utazan tunaduka,

Inafika kipindi nikishuka kwenye gari Nina Hadi simu nane kwenye mkono zote sim janja Kali

Sasa ww ka sim kamoja unakaanako mwaka mzima na hakana cover Wala protect huo siyo u masikin tu Bali ni ukapuka uliochanganyika na upungufu wa akiri.

Usiige Kunya kwa tembo.......

Mitano tena


Na long out.
Masau Bwire
 
Hii itakua inawahusu watu wa Tecno wereva. Sisi wa Samsung simu zinakuja na protector kwa box...au nao ni washamba ku ship simu na protector yake kwenye box?
Kuna shida gani kuwa na built-in screen protector badala ya huu uchafu yunaouziwa Kariakoo.
 
Hamjambo,
Huwa nakereka sana pindi nimuonapo mwaume na Madevu yake amesiliba liTecno lake la vilaki vinne kwa makava na maprotekta.

Kama uko hapa na umesiliba liTecno lako hivyo nakutaka uondoe huo uchafu haraka.

Waliotengeneza hizo simu hawakutengeneza makava na hivyo uache ushamba maandazi.


Kwa msiojua simu matumizi yake ni mwaka mmoja na baada ya hapo unatakiwa ubadilishe.

Nadhani Mmeelewa
Zamani kina Shirima walikua wanaheshimika sana aisee
 
Protector ni ya muhimu,kwenye cover hata mimi nakuunga mkono

Kuna watu tunazitumia simu zetu kuhifadhia taarifa muhimu na kuweka reminder mpaka za mwaka kesho,watu kama sisi hatuwez badilisha simu baada ya muda mfupi hzo tabia za kununua simu mara kwa mara waachieni ma slay queen malaya
 
Unaweza kuta huna hata kalaki bado unamsiliba mwanaume mwenzio kwa kumiliki Tecno ya laki 4.
 
Achana na kufuga midevu na acha kutumia Tecno.

Sisi watumaiji wa Sumsung simu zetu huja na cover lake pamoja na protector. Sasa sijajua mshamba ni nani kati yako wewe Tecno na Sumsung
🤣🤣🤣
 
Natumia simu moja ya kipekee sana(zipo chache)na sijawahi kukutana/kuonana na mtu mwingine anatumia hii simu

SIMU NZURI SANA
 
Back
Top Bottom