Kuwekea simu cover na screen protector ni ushamba

Kuwekea simu cover na screen protector ni ushamba

Hamjambo,
Huwa nakereka sana pindi nimuonapo mwaume na Madevu yake amesiliba liTecno lake la vilaki vinne kwa makava na maprotekta.

Kama uko hapa na umesiliba liTecno lako hivyo nakutaka uondoe huo uchafu haraka.

Waliotengeneza hizo simu hawakutengeneza makava na hivyo uache ushamba maandazi.


Kwa msiojua simu matumizi yake ni mwaka mmoja na baada ya hapo unatakiwa ubadilishe.

Nadhani Mmeelewa
Nahisi utakua na govi maana hata kutahiriwa ni kuongeza kitu ambacho hutakiwi kuwa nacho
 
Hakuna unachojua kuhusu protector/cover salange we
 
Back
Top Bottom