Uzi wa matajiri
Jaribu kufikiria unakutana kijana anaejiita sharobaro au masister duu amebeba kitecno chake mf kiCAMON X cha vilaki vinne huku amekishindilia makava na maprotecter hadi kisimu chake uchara kinageuka kuwa mzigo
Ni vile watu hawajui: simu matumizi yake ni mwaka mmoja na ikizidi na nusu, na ndio maana hata guarantee huwa haizidi hapo. Sasa popoma anataka akae na simu hadi afanane nayo,huo ni ufara na umama
Mnaatahili mniige mimi ninaetumia iPhone na sina ushamba wa kuzisiliba na makava wala maprotecter uchwara maana baada ya mwaka huwa nagawa
Munisamehe