Kuwekea simu protector na makava ni umaskini

Kuwekea simu protector na makava ni umaskini

Utakuwa hujui kazi ya protector k.m vile wengine wanaodhani protector inazuia kioo kisivunjike

hebu nipe elimu maana wengi tunaotumia zile simu ambazo nusu bei ni kioo. protector ndo kimbilio letu kama mleta mada alivyotusema
 
Unajisifu ni i phone? Uzwazwa ulopitiliza babu yangu mzee shirima anayo alafu anatumia tu kupiga na kupokea na kutuma sms tu the rest anaitia mfuko wake wa shati,
Aach uboya maisha sio i phone ni wakati wa kuwa na black card(private wealth) from big bank

Unafanya forex?
 
Hapo unamzungumzia popoma huyu huyu wa humu jf au popoma yupi? Maana sio kwa mineno kama ya Makonda na IST anazozisakama
 
Kuweka staring cover, cover ya simu kuvaa kondom kote huko ni ufala. Mie uwa napenda kupata ile manufacturer test. Sio artificial test
 
....................Hakuna Mchagha wa hivi,wewe ni mamluki wa kihaya ningemfahamu baba yako ningemshauri apambane akufanyie DNA test ili aujue ukweli.
 
Uzi umebamba na comments zitakuwa chache maana na wanaocoment wanapitia katika protectoe na simu imejivisha cover naona namimi nivitoe.
 
Utakuwa hiyo pesa uliokota, ukanunua iPhone halafu hela za cover na protector huna.
We ni maskini na fala kiuchumi na kimawazo.
 
Uzi wa matajiri

Jaribu kufikiria unakutana kijana anaejiita sharobaro au masister duu amebeba kitecno chake mf kiCAMON X cha vilaki vinne huku amekishindilia makava na maprotecter hadi kisimu chake uchara kinageuka kuwa mzigo

Ni vile watu hawajui: simu matumizi yake ni mwaka mmoja na ikizidi na nusu, na ndio maana hata guarantee huwa haizidi hapo. Sasa popoma anataka akae na simu hadi afanane nayo,huo ni ufara na umama

Mnaatahili mniige mimi ninaetumia iPhone na sina ushamba wa kuzisiliba na makava wala maprotecter uchwara maana baada ya mwaka huwa nagawa
Munisamehe
mchaga wewe shirima ugawe i phone ? labda
 
Back
Top Bottom