Pole kwa tatizo la 'r' na 'l'Hajakosea mkuu ni UFARA.. SIO UFALA
Utakuwa hujui kazi ya protector k.m vile wengine wanaodhani protector inazuia kioo kisivunjike
Unajisifu ni i phone? Uzwazwa ulopitiliza babu yangu mzee shirima anayo alafu anatumia tu kupiga na kupokea na kutuma sms tu the rest anaitia mfuko wake wa shati,
Aach uboya maisha sio i phone ni wakati wa kuwa na black card(private wealth) from big bank
Mkuu,usimzodoe sana.Huyo ni miongoni mwa "mabilionea" wapya wa awamu hii.Labda utuambie simu yako inatumia version gani ua ios..pia inaitwa "ufala" sio "ufara"...
mchaga wewe shirima ugawe i phone ? labdaUzi wa matajiri
Jaribu kufikiria unakutana kijana anaejiita sharobaro au masister duu amebeba kitecno chake mf kiCAMON X cha vilaki vinne huku amekishindilia makava na maprotecter hadi kisimu chake uchara kinageuka kuwa mzigo
Ni vile watu hawajui: simu matumizi yake ni mwaka mmoja na ikizidi na nusu, na ndio maana hata guarantee huwa haizidi hapo. Sasa popoma anataka akae na simu hadi afanane nayo,huo ni ufara na umama
Mnaatahili mniige mimi ninaetumia iPhone na sina ushamba wa kuzisiliba na makava wala maprotecter uchwara maana baada ya mwaka huwa nagawa
Munisamehe
You mean "taste"? funzadumeKuweka staring cover, cover ya simu kuvaa kondom kote huko ni ufala. Mie uwa napenda kupata ile manufacturer test. Sio artificial test
Ofcoz yesUnafanya forex?