Ibang
Senior Member
- Dec 15, 2011
- 121
- 23
Wakuu, Salaam
Kwanza kabisa napenda kutanguliza pongezi kwa jukwaa hili kwani limekuwa likitoa chachu kwa wawekezaji, wajasiliamali, na wafanyabiashara
leo nina mada ambayo nimeona sio haba nikiileta hapa tukaijadili kwa marefu na mapana
kwa wenzetu ukiangalia mataifa yalioendelea tumeona kuwa kuna makampuni makubwa yanayojishughulisha na uwekezaji na watu waliojishughulisha na uwekezaji huo wamekuwa ni matajiri wa kutupwa
hapa kwetu tuna resources nyingi sana ambazo tukiamua tunaweza kuziendeleza na ni lazima sie tuwekeze katika rasilimali zetu
hivyo basi ni muhimu kwa sisi watanzania kuwa na makampuni ya uwekezaji
(investment companies)
katika kutafuta tafuta kwangu nimekutana na misamiati ya kiuwekezaji ambayo ndio yaliniyopelekea kuanzisha mada hii tuijadili kwa pamoja
Private equity
mutual funds
hedge funds
holding companies
management assets
hayo ni baadhi ya maneno ambayo yapo sana kwenye hili duru la uwekezaji
inaonekana watanzania wengi (nikiwemo mimi) hatuna elimu kiviile ya uwekezaji ILA WAPO HUMU wataalamu ambao wanaweza kutuelezea maana ya neno moja mpaka jingine
naomba kuuliza kwa faida ya wengine
kazi za makampuni haya
Private equity
mutual funds
plus strategies za watanzania kuanzisha mojawapo ya makmpuni hayo ni zipi?
katika pita pita yangu (kidoogo niliona) kuwa mutual funds wana invest kwenye private stocks kwenye dse na baada ya kufuatilia kwenye website ya dse nimeona kuna makampuni mengi yako listed kwa dse kama precision air so
mutual funds wana mkono gani hapo?
na makampuni ya mutual funds Tanzania ni yapi??
Nitarudi kwa maswali zaidi iwapo nikijibiwa haya kwanza..
natanguliza shukrani wakuu...