Kuwekeza tanzania

Kuwekeza tanzania

Ibang

Senior Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
121
Reaction score
23
Wakuu, Salaam
Kwanza kabisa napenda kutanguliza pongezi kwa jukwaa hili kwani limekuwa likitoa chachu kwa wawekezaji, wajasiliamali, na wafanyabiashara

leo nina mada ambayo nimeona sio haba nikiileta hapa tukaijadili kwa marefu na mapana

kwa wenzetu ukiangalia mataifa yalioendelea tumeona kuwa kuna makampuni makubwa yanayojishughulisha na uwekezaji na watu waliojishughulisha na uwekezaji huo wamekuwa ni matajiri wa kutupwa

hapa kwetu tuna resources nyingi sana ambazo tukiamua tunaweza kuziendeleza na ni lazima sie tuwekeze katika rasilimali zetu

hivyo basi ni muhimu kwa sisi watanzania kuwa na makampuni ya uwekezaji

(investment companies)

katika kutafuta tafuta kwangu nimekutana na misamiati ya kiuwekezaji ambayo ndio yaliniyopelekea kuanzisha mada hii tuijadili kwa pamoja

Private equity
mutual funds
hedge funds
holding companies
management assets

hayo ni baadhi ya maneno ambayo yapo sana kwenye hili duru la uwekezaji

inaonekana watanzania wengi (nikiwemo mimi) hatuna elimu kiviile ya uwekezaji ILA WAPO HUMU wataalamu ambao wanaweza kutuelezea maana ya neno moja mpaka jingine
naomba kuuliza kwa faida ya wengine

kazi za makampuni haya

Private equity
mutual funds

plus strategies za watanzania kuanzisha mojawapo ya makmpuni hayo ni zipi?

katika pita pita yangu (kidoogo niliona) kuwa mutual funds wana invest kwenye private stocks kwenye dse na baada ya kufuatilia kwenye website ya dse nimeona kuna makampuni mengi yako listed kwa dse kama precision air so
mutual funds wana mkono gani hapo?

na makampuni ya mutual funds Tanzania ni yapi??

Nitarudi kwa maswali zaidi iwapo nikijibiwa haya kwanza..

natanguliza shukrani wakuu...

Investments nazipenda sana hasa zile za kukutoa katika lindi la umaskini na kuwafanya muwe matajiri kwa vizazi na vizazi..tatizo wabongo wengi investments zetu ni kwenye bar, guest house, na hotel nk..yaani sio zile major investments kabisa so sidhani kama watu watajaza hapa..maana sisi tunaweza kilimo kisicho kua na technology etc
 
Mkuu,kwa mujibu wa robert kiyosaki,kuna aina tatu za uwekezaji,moja ni katika biashara yako mwenyewe,yoyote ile,mbili ni katika real estate,yaani nyumba,viwanja nk,tatu ni katika hizo mutual funds,ambazo mleta mada ndo anataka kujua zaidi.

Investment yoyote inaweza kukutoa kwny umaskini,lakini mimi napenda zaidi real estate kwa sababu tatu,moja ni kwamba sio lazima uwe mjuzi wa biashara uwekeze,mbili,ni rahisi kukopesheka kwa mabenki,tatu ni njia mbadala ya akiba uzeeni.
 
Mutual funds hata mie bdo sijaelewa. Nimemsoma vizuri Kiyosaki. To my opinion best ever investment product in Tanzania ni Real Estate na kilimo ambacho ni extensive( kuanzia hekari 1000).
 
Mkuu,kwa mujibu wa robert kiyosaki,kuna aina tatu za uwekezaji,moja ni katika biashara yako mwenyewe,yoyote ile,mbili ni katika real estate,yaani nyumba,viwanja nk,tatu ni katika hizo mutual funds,ambazo mleta mada ndo anataka kujua zaidi.

Investment yoyote inaweza kukutoa kwny umaskini,lakini mimi napenda zaidi real estate kwa sababu tatu,moja ni kwamba sio lazima uwe mjuzi wa biashara uwekeze,mbili,ni rahisi kukopesheka kwa mabenki,tatu ni njia mbadala ya akiba uzeeni.
kwa kweli real estate ni mpango mzima bila kusahau na agriculture..mkuu i concurr with you...naona kiyosaki amesomwa na wengi kama vipi tuwe tunatumia vitabu vyake na mashuleni au vyuoni...
 
Kweli mkuu,katufumbua macho huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom