Kuwekeza Tsh 50,000/=

Kuwekeza Tsh 50,000/=

Achana na wanao kudisi, wao wanamitaji hawana macho!!!!
 
elf50 nunua vochauza kama upo ofisin kila siku zinakwisha unala na elf52 mia5

kama upo mtani pia itakufaa, USIKOPESHE kamwe

Au nunua vifaranga wa3 wamalawi, then nunua chakula ya kuku ya kupima kwa miezi2 bada ya hapo wachie watafute chakula wenyewe. then bada ya miezi4 utantafuta unipe jogoo wa shukurani
ANKOJEI Nimeona point hapa katika swala kuku ila imejificha Nomba utuweke wazi baada ya miezi minne kwa kuku wawili atakuwa amepata kuku wangapi au kiasi gani.Yaani kuna kitu cha maana nakiona hapo ila sijui kama ndio point yako kwani hii biashara inalipa sana pia
 
Wadau nashukuru mnachanganua mambo kwa kina sana, nimewakubali memba wa jf yaan sanaaa.
let us go on...
 
Back
Top Bottom