Kuweni makini na hii namba 0683 544 982

Mandison

Senior Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
191
Reaction score
110
Anajifanya kuwa ni mfanyakazi wa Airtel huduma kwa wateja kwa jina la Peter Dickson. Ukifuata anachokuelekeza unaibiwa pesa kwenye account yako ya airtel money.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji56][emoji56]
 
Anajifanya kuwa ni mfanyakazi wa Airtel huduma kwa wateja kwa jina la Peter Dickson. Ukifuata anachokuelekeza unaibiwa pesa kwenye account yako ya airtel money.
Wako kila mtandao hao jamaa
 
Hivi na pesa ilivyokuwa ngumu hivi, kuna watu bado wanaibiwa kindezi hivi mjini hapa???
 
Ni vema ukatoa elimu ya vipi kujikinga dhidi ya wezi hawa wa mtandao. Kubwa zaidi tusipende pesa za bure (droo, bonus, zawadi, good faith)

Mara nyingi watu wakiskia kuna pesa inakuja wanachanganyikiwa na kuanza kufuata kila wanaloambiwa. Pili soma kwa makini maelezo yote unayoyaona kwenye menu yoyote unayoenda. Usibonyeze tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…