Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe uliibiwa kiasi gani?Anajifanya kuwa ni mfanyakazi wa Airtel huduma kwa wateja kwa jina la Peter Dickson. Ukifuata anachokuelekeza unaibiwa pesa kwenye account yako ya airtel money.
Hahah akipokea ni tag plz!Nataka nimpigie mimi
Harafu utamwambiaje??[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nataka nimpigie mimi
Wako kila mtandao hao jamaaAnajifanya kuwa ni mfanyakazi wa Airtel huduma kwa wateja kwa jina la Peter Dickson. Ukifuata anachokuelekeza unaibiwa pesa kwenye account yako ya airtel money.